Katika muktadha maalum wa Siku ya Bahari Duniani, China imechukua hatua gani muhimu kulinda mazingira ya baharini, na ni matokeo gani muhimu yamepatikana? Bibi Yu Xiang, Mkurugenzi wa Ofisi ya Utafiti wa Uchumi wa Mabadiliko ya Tabianchi katika Taasisi ya Utafiti wa Ustaarabu wa Ikolojia ya Chuo cha Sayansi ya Jamii cha China, anatoa mifano halisi.