Picha : Xinhua)

Ujumbe mkuu ukiongozwa na Rais Xi Jinping wa China, pia katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Tume Kuu ya Kijeshi, uliwasili Lhasa Jumatano na kukaribishwa kwa furaha na watu wa makabila tofauti katika Mkoa unaojiendesha wa Xizang kwenye uwanja wa ndege na katika mji wa Lhasa.

(